En ce dimanche de la Pentecôte, il a plu à la Province Assomptionniste d’Afrique de procéder aux cérémonies d’obsèques du Père Faustin Kakule Kanyirume dont le corps a été rapatrié de l’Ouganda.
Cette journée fut précédée par une veillée
mortuaire qui a eu lieu au noviciat Saint Charles Lwanga. Un bon nombre de
fidèles y ont pris part sous une émotion fort aiguë.
La messe des obsèques a été célébrée par le Père Thierry Kambale Kahongya, représentant du Supérieur Provincial qui est en mission de travail. Une centaine de prêtres ont concélébré.
Nous vous proposons, en continuation, quelques éléments de biographie du Père Faustin Kanyirume, tels que dépeints dans l’homélie au cours de l’Eucharistie :
˂Kwa majina, ndugu yetu anaitwa Faustin KAKULE KANYIRUME.
·
Alizaliwa
pa Katwa-Kyondo, tarehe 25/05/1971. Baba anaitwa Casimir Mulenze. Na mama, jina
lake Générose Kighani.
·
Alibatizwa
pa Kyondo, tarehe 22/05/1983 ;
·
Alipata
usabitisho pa Kyondo, tarehe 14/05/1985.
·
1978-1984
↔ Alisoma masomo ya ki primario pa Kyondo ;
· 1984-1988
↔ Masomo ya ki secondario pa Talia/Kyondo ; na akahamia Butembo kuendelea pa
Nuru tangu 1988-1991.
Uito
wake
Tangu miaka wa 1993, Faustin alijiunga na mapadri wa
Assomption pa COPHACO-Kindugu. Baadaye, akakubaliwa kuingia nyumbani mwa malezi
ya Noviciati Mtakatifu Karoli Lwanga pa MGL-Butembo mwaka 1994 chini ya uongozi
wa Padri René Mihigo. Akaweka naziri zake za kwanza tarehe 28/08/1995.
Kiisha kuwa mtawa, ameenda Scolasticat Bulengera ili asome philosophia
tangu mwaka 1995 mpaka 1998. Baadaye, akatumwa Vulindi kusoma theologia tangu
mwaka wa 2000 mpaka ule wa 2004. Hapo hapo, ameweka naziri za milele tarehe 14/02/2004.
Faustin alipata ushemasi pa Butembo
tarehe 12/07/2005 kwa mikono ya Askofu
Sikuli Paluku Melchisédech ; na upadririsho hapo hapo tarehe 07/06/2006.
Fazila
zake
Padri Faustin alikuwa mtu wa uhusiano mzuri na kila mtu. Alikuwa mtu anayesema kitu namna anavyokiona. Ni muchangamfu na anayechekesha. Ni mtu mwenye kuaminia wengine na anayependa umoja, undugugu na ujamaa katika jumuia (communauté).
Ugonjwa
wake
Ni tangu mwaka 2014, afya yake ilianza kuzorota. Baada ya matunzo pa Wanamahika, aliombwa kuenda Kampala kwa matunzo bora zaidi. Waganga waligundua kwamba anaumwa « reins » (insuffisance rénale). Na wakaomba apewe ingine ili imsaidie zaidi. Hapo tunamshukuru dada yake aliyekubali kumpa. Opération ilipita vizuri na ilimsaidia muda wa mwaka moja. Hata alirudi hapa kwa kumshukuru Mungu na wote waliomsaidia. Baadaye, akaumwa na malaria. Na hiyo ilivuruga afya njema ambayo alikuwa nayo tayari. Akarudi tena Nairobi kuonana na waganga wake. Wakaamua kwa kumsaidia awe anafwata dialyse mara mbili kwa juma. Muda wote wa maumivu makali hayo, Padri Faustin alijipa moyo akiwa na imani na matumaini sabiti. Siku ya Mungu iliyopita, afya yake ilizorota zaidi. Akapelekwa hospitalini tena. Na kumbe wakati wake ulikuwa umefika. Ndio akafariki tarehe 02/06/2017 saa sita na robo ya usiku. Apumzike kwa amani !˃
Il s’ensuivit l’inhumation au cimetière de Mahamba, aux environs de 16 heures.
La fin de la journée a été marquée par un bain de consolation à la Maison Provinciale Gervais Quenard.
AUGUSTINS DE L’ASSOMPTION Butembo, le 15 juin 2017
PROVINCE D’AFRIQUE
B. P. 104 Butembo
(R.D.C.)
@ : aaprovinceafrique@gmail.com
N/Réf. AA/SP/095/017
Objet :
Remerciements Chers Frères et Sœurs dans le Christ,
Le
Conseil Provincial des Augustins de l’Assomption vous exprime sa gratitude pour
le soutien tant spirituel que matériel manifesté envers la Famille de l’Assomption
lors du deuil de notre frère, le Père
Faustin Kakule Kanyirume, décès survenu le 02 juin 2017 à Kampala/Ouganda.
Réconfortés
par ces actes de sympathie et de compassion posés à l’égard de la Province
d’Afrique, nous demandons à Dieu de vous combler de ses grâces et bénédictions,
tout en vous rassurant de nos prières et amitiés fraternelles.
Secrétariat Provincial
d'Afrique